Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

http://youtu.be/G-0527-9_xY

Wakuu,

Nimekutana na hii clip ya Dr. J.P. Magufuli akimmwagia sifa kedekede mhe. Rais kikwete - kwa mtazamo wangu sifa hizi zimepita sifa ambazo binadamu wa kawaida anastahili..ni Mungu pekee anayezistahili..

Kiukweli ukikutana na mtu akakukubali namna hii ni kwanini usilipe fadhila? Hakika iko haja ya kuboresha siasa zetu za mahusiano na wale tunaokutana nao kila siku..
 
Inafurahisha kuona akina Nchimbi wakiimba CCM mbele kwa mbele
 
Ndio maana nimesema kumpigia kura na kumchagua Migiro ni patapotea .... au kwa waswahili wanasema "funika kombe mwanah@ramu apite"
 
Jamani hamjanionea mzee kingunge hapa ukumbini? Namtafuta simuoni wazee wote wa heshima WA nchi hii wapi high table yeye simuoni kajificha wapi?
 
Back
Top Bottom