Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Dr slaa ukawa hata hawasikiki tena wamefunikwa na ccm! ccm wamesha chukua nchi hamna jinsi
UKAWA tunaanza tarehe 14.07.2015 nchi itasimama .Lowasa atawatesa sana ccm
 
Naona wajumbe wengi wametoka kwenye ugimbi
 
http://youtu.be/G-0527-9_xY

Wakuu,

Nimekutana na hii clip ya Dr. J.P. Magufuli akimmwagia sifa kedekede mhe. Rais kikwete - kwa mtazamo wangu sifa hizi zimepita sifa ambazo binadamu wa kawaida anastahili..ni Mungu pekee anayezistahili..

Kiukweli ukikutana na mtu akakukubali namna hii ni kwanini usilipe fadhila? Hakika iko haja ya kuboresha siasa zetu za mahusiano na wale tunaokutana nao kila siku..
 
Wanaisoma namba...CCM mbele kwa mbele..
 
Inafurahisha kuona akina Nchimbi wakiimba CCM mbele kwa mbele
 
Ndio maana nimesema kumpigia kura na kumchagua Migiro ni patapotea .... au kwa waswahili wanasema "funika kombe mwanah@ramu apite"
 
Jamani hamjanionea mzee kingunge hapa ukumbini? Namtafuta simuoni wazee wote wa heshima WA nchi hii wapi high table yeye simuoni kajificha wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…