Ha ha haa Lowassa na Membe wamoja.Daa CC.M wamoja! UKAWA wamegonga mwamba CCM mbele kwa mbele..
mkuu sasa hii mada imeandikwa kiswahili wewe unajibu kiingereza , je angekuwa kaandika kingereza ungejibu kwa kichina? acheni mikwala yenu bwana.I think Maghufuli could help the majority of Tanzanians since for him 'black is black' regardless of any context. He is the right guy for Tanzania at this time point.
Possibly your reasons are personal i.e. you are just attacking his personality.
kuna kilaza mmoja anaitwa ocampo four nadhani atakuwa anahara tu sasa.Mkuu umefurahi sana mwenzakoMUSSA ALLAN yupo wapi leo?
Ni kweli Mkuu. Hawajaafikiana na walipoona jina la Pombe Magufuli ndo wamechanganyikiwa kabisa. Walitaraji kuona CCM inamteua Membe ili wapite kwenye mteremko
Mkuu wa chuo ntakujibu kesho
Mkuu ZULUECO, niwie radhi kwa kutonielewa kwenye maudhui yangu. Kwa kukuweka sawa tu ni kwamba nakichukia CCM kuliko haja yangu kubwa. Nimeandika vile mwanzo ili nimtie munkari Lowasa ili ahamie kwingine ili hiki chama kifilie mbali. Pamoja na hayo nina imani hiki chama kimeanza kufs jana,muujiza tu toka mbinguni ukiokoe. Lowasa kasadaka mengi (pamoja na ufisadi wale) kwenye chama hiki, akiamini mkwere ni mtu lakini bahati mbaya hakujua unafiki rafiki yake.Babu kwa nini unamng'ang'ania sana lowasa mbona hata magufuli anafaa tuu..nenda naye huko act bana uctupigie kelele hapa na huyo fisadi wako...kwanza hajui kujenga hoja zaidi ya tuchape kazi...maamuzi magum..safari ya matumaini ...magufuli ndo raisi najitoa ukawa rasmi kura yangu jwa magufuli
subiri tarehe 14.07.2015 Utaisoma namba Ukawa ni moto wa gesi
Hbr wapenzi wa jf. Mm ni mwananchama mpya. Natakankujua hizobVurugu za nini na ni kwanini zikatokea?
Kanisa lina nguvu sana..