Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hata mimi nashangaa na inawezekana wameombwa wajitoe baada ya kusoma upepo.Hata hivyo, hio haitawasaidi ila ndio itazidisha hasira tu.

Vp mkuu plan B ya Lowassa yule jamaa yako wa mwandiga hatoi udenda kweli?
 
wamepotea kabisa hakika utabiri umefikia hata goli lao la mkono litawawia ngumu na msimu huu lazima fifa wawaone wawape ban ya kutosha nao wawe wapinzan miongo kadhaa
 
Tarehe 14.07.2015 mgombea uraisi kupitia Ukawa atapotangazwa nchi itasimama kwa muda hii ccm ni cha mtoto moto wa gesi unakuja
 
http://youtu.be/G-0527-9_xY

Wakuu,

Nimekutana na hii clip ya Dr. J.P. Magufuli akimmwagia sifa kedekede mhe. Rais kikwete - kwa mtazamo wangu sifa hizi zimepita sifa ambazo binadamu wa kawaida anastahili..ni Mungu pekee anayezistahili..

Kiukweli ukikutana na mtu akakukubali namna hii ni kwanini usilipe fadhila? Hakika iko haja ya kuboresha siasa zetu za mahusiano na wale tunaokutana nao kila siku..

Smart, ungenukuu au kutoa source. Usijari - as usual!
 
Kingunge kapata aibu kubwa za uzeeni kwa kutaka kuchumia tumbo- fisadi mzee. Hilooooo aibu anaongea mpaka povu jeusi linamtoka kutetea UFISADI.
 
Hao CCM wanatoa mgombea kwa mchakato gani?Unaweza kunambia wale wote 38, kwa ambao hawakupita, walienguliwa kwa kutumia vigezo gani vya kidemokrasia?
CDM wamempitishaje slaa kwenda ukawa? navyojua mimi ni mbowe mtei na slaa ndie walio pitishana! hakuna cha fomu wala mwandishi wa habari du!
 
naona lukuvi amekuwa mpambe wa magufuli wanazunguka kuhamashisha kura had nape kawaona.
 
amina na migiro wamejitoa? naona magufuli anaonekana kama ameshashinda?

Kwani umeusahau unafiki na kujikombakomba kwake kwa wajumbe?Hata hivyo Amina ameshajihakikishia nafasi ya umakamu/mgombea mwenza.
 
Wajumbe wengi wamelewa hawamweli Katibu mwenezi.
 
Back
Top Bottom