Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kinana amemtaja Lowasa wanafiki wanamshangilia .Lowasa amepoa sana.
 
Kinana ni kiongozi mwenye busara ya hali ya juu hakuna kabisa kama huyu UKAWA!
 
Jamani Kinana baada ya kumtaja lowasa, kelele zimemchanganya kamsahau Pinda!.
 
Hivi wale watia nia 33 waliokatwa awali kabisa walikatwa kwa vigezo gani? Zilipigwa kura? Kama zilipigwa, hizo kura ziko wapi? Maana za tano bora tumewekewa......
 
Back
Top Bottom