Hata mimi nashangaa na inawezekana wameombwa wajitoe baada ya kusoma upepo.Hata hivyo, hio haitawasaidi ila ndio itazidisha hasira tu.
Wapi Sumaye?!
http://youtu.be/G-0527-9_xY
Wakuu,
Nimekutana na hii clip ya Dr. J.P. Magufuli akimmwagia sifa kedekede mhe. Rais kikwete - kwa mtazamo wangu sifa hizi zimepita sifa ambazo binadamu wa kawaida anastahili..ni Mungu pekee anayezistahili..
Kiukweli ukikutana na mtu akakukubali namna hii ni kwanini usilipe fadhila? Hakika iko haja ya kuboresha siasa zetu za mahusiano na wale tunaokutana nao kila siku..
nani alikwambia siasa ni ugomvi?...
CDM wamempitishaje slaa kwenda ukawa? navyojua mimi ni mbowe mtei na slaa ndie walio pitishana! hakuna cha fomu wala mwandishi wa habari du!Hao CCM wanatoa mgombea kwa mchakato gani?Unaweza kunambia wale wote 38, kwa ambao hawakupita, walienguliwa kwa kutumia vigezo gani vya kidemokrasia?
m.avi yapite kooniiiii
Vp mkuu plan B ya Lowassa yule jamaa yako wa mwandiga hatoi udenda kweli?
amina na migiro wamejitoa? naona magufuli anaonekana kama ameshashinda?
Team Lowassa tunampigia kura Amina ili ukawa wachukue nchi kiulaini,JK kamwaga ugali nasi tunamwaga mboga.