Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

"mimi sina kundi, ntaunganisha makundi yooote makubwa yaliyojitokeza katika chama hiki kama kundi kubwa la lowasa...."
teh teh huyo ndio Amina
Tehetehetwhe. Kundi la Lowasa ndo limeshakufa.
 
mama haamini kuwa anaweza kulamba joker,lazima apanick
 
Hahahaaaaa Da Amina yuko nervous kinoma!

Sielewi kabisa huyu kafikaje tatu bora?

Yaani hebu jaribu kumlinganisha huyu hata tu na Dkt. Mahiga......


Kilichombena ni kwakuwa anatoka nchi Jirani pia ni Mwanamke.
 
huyu mama vipi...anakoseam kumtaja lowasa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…