Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
Huyu mama sidhani kama hata alikuwa anategemea kufika hapo maana huo mtetemeko mhhhh???
Amepaniki.. Haamini kama amemshinda Jamaa wa Maamuzi Magumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama sidhani kama hata alikuwa anategemea kufika hapo maana huo mtetemeko mhhhh???
Lowasa anaangalia kwa jicho la huruma
Ni no confidence ila namkubali sana. Pressure za siku ya Leo ila yuko vzuritumpe nafas aongee..kufika tatu bora si mchezo si umeona WAMEKATWA walee
Mmh.... Hata mi nimeona, maybe kachoka
Tehetehetwhe. Kundi la Lowasa ndo limeshakufa."mimi sina kundi, ntaunganisha makundi yooote makubwa yaliyojitokeza katika chama hiki kama kundi kubwa la lowasa...."
teh teh huyo ndio Amina
migao imetoweka ,mhindi kadakwaMbona hao uliowataja wote wana smile umeona sura ya Wassira?
mama anahemahema tu hawezi kuwa Rais
Huyu mama badala yakuongea jinsi yakuongoza anaanza kuwasifia walioenguliwa.
Naona watu wa kamera wameamua kumkwepeshaAnatia huruma sana
Hahahaaaaa Da Amina yuko nervous kinoma!
Sielewi kabisa huyu kafikaje tatu bora?
Yaani hebu jaribu kumlinganisha huyu hata tu na Dkt. Mahiga......
Huyu maza amalize sasa
nchi hii haijawahi kufika uchumi wa kati....mama kabugi
Huyu mama badala yakuongea jinsi yakuongoza anaanza kuwasifia walioenguliwa.