Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hahahaaaaa Da Amina yuko nervous kinoma!

Sielewi kabisa huyu kafikaje tatu bora?

Yaani hebu jaribu kumlinganisha huyu hata tu na Dkt. Mahiga......

ukiona hivyo ujue kashatonywa atapitishwa...imemkata confidence anawazia ndege na suti za bure,presidential suites in dc,london and monaco...motorcade with presidential tint on it...chezea bata la ikulu wewe!!!
 
Rozi yuko vizuri jamani Use 3 Shields.
Achieve in single game.
 
Kachoka na nini kwani? Rais mtarajiwa hapaswi kuchoka kwa kiwango hiki. Ila mmmh! Huyu mama ni mzuri. Anafanana kama yule Joyce Banda wa Malawi
Hahaaa kweli huyu mama ni mzuri kiukwrli uongo mbaya hachoshi kumtazama.
 
Hahahaaaaa Da Amina yuko nervous kinoma!

Sielewi kabisa huyu kafikaje tatu bora?

Yaani hebu jaribu kumlinganisha huyu hata tu na Dkt. Mahiga......

So am I..... May be wengine ni worse than her
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…