Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mmh hapo kuna kitu kinanukia, nandani Nguvu ya dola soon inakwenda kupambana na nguvu ya wanaCCM. Muda sio mrefu msiba mzito huenda ukatanda kwa kambi fulani. Tunasubiri.

mkuu ukifika dodoma muda huu utashangaa, kiukweli tupo hapa tunasubiri litakalojiri
 
Huyo anaweza akafa kwa stroke,je huyu aliyefungiwa injini ya ndege miguuni baada ya october ataishije maana ashazoea mitaa nyingi ya kula bata ulaya
 
hiyo saa tatu wakitangaza na ikionekana Lowasa hayumo lazima jua litoke, na atakayetangaza lazima apate NGEU
 
Ccm itatoa mgombea atakaye waunganisha watanzania kwa itikadi zao na imani zao, sifa hz ndio chaguo la kamati
 
JE KUNA MAPOLISI TU AU NA MADAKTARI?. Nasikitika kwani kuna uwezekano wale waliofikiri watakuwa rais kwa kulipa watu wengi kumpokea wakalala ICU leo kwa mshtuko. Watu waji adjust kuwa sio lazima uwe rais ndo utimize malengo yako; malengo yanaweza kutimia tu labda kama watatafuta prestige na kuweka rekodi.
 
Duh! Hatari! Mwenye macho haambiwi tazama, lowassa huenda amekatwa maskini 80%
 
Waabdishi wakijipanga na kukaguliwa kuingia ukumbini
 

Attachments

  • 1436542422403.jpg
    1436542422403.jpg
    14.3 KB · Views: 834
Back
Top Bottom