Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kingunge anatishia eti atakata rufaa bosi wake,aende akakate ACT kwa Zitto,tuone sio ccm,
 
kiswahili ulisoma kweli?? tamathali za semi unazijua??

Kwa mara ya kwanza katika uhai wake CCM ina uoga wa kumchagua mgombea wake!

Kweli kwa mwoga huenda KICHEKO na kwa shujaa huenda KILIO.

Aidha UMOJA ni nguvu na UTENGANO ni udhaifu, Congratulations UKAWA.
 
Lakini mbona Mangula m/mwenyekiti wa hicho chama alishasema wale wote 6 waliofungiwa mwaka mzima kwa kukiuka taratibu wasitarajie kuingia tano bora? Hadi sasa:
1. Makongoro
2. Mwandosya
3. Asharose Migiro
4. Jaji Augustino

Na kwa taarifa yenu...... Mama wa Taifa ndani ya Dodoma, kushuhudia mwanawe akipendekezwa kupeperusha bendera ya chama chao!!

Tunataka chama chetu kwasababu sisi ni wengi ..shukrani kwa wazee wa chama kwa kuwa wazalendo na Mungu atawapa mema ya kanaani
 
Kwa mara ya kwanza katika uhai wake CCM ina uoga wa kumchagua mgombea wake!

Kweli kwa mwoga huenda KICHEKO na kwa shujaa huenda KILIO.

Aidha UMOJA ni nguvu na UTENGANO ni udhaifu, Congratulations UKAWA.


unatucheka lakini vita zidi ya shetani makanisa yote uwa yanaungana ,
 
Jamani mliopo hko Dodoma karibu na ukumbi wa ccm tunaomba tupeni update kwa kinachoendelea hko kuhusu nani kaputishwa ili ukawa tushangilia maana yeyote atakayepitishwa ccm kwishineee.tujulisheni wadau..
Pia Leo kituo cha police bunju maeneo ya usalama kimechomwo moto na wanafunzi baada mwanafunzi mwenzao kugongwa na gari mida ya asubuhi.
Bahati mbaya sikuweza kupiga picha maana nilikuwa kwenye daladala natokea bagamoyo naenda dar.
Hizi zote nidalili kuonyesha namnagani watu walivyochoka na uonezi,watu hawapewi haki zao na rushwa imetawala ndo maana hata watoto wetu wameamua kujichukulia sheria mkononi.
Tukutane October,watanzania tuamuke tumeibiwa na kuonewa vyakutosha!
 
nina mashaka lowasa akikatwa kikao kitavurugwa

kinavurugika yeye ni nani? ambaye anamtaka nafasi iko wazi kwa zitto ACT kwanini wanangangania kama wanaonewa?
basi wajue ccm ni zaidi wao,
 
nina mashaka lowasa akikatwa kikao kitavurugwa

Kikao kinavurugwaje wakati wanaokata wameelewana tayari na wanaendelea na vikao vingine? Lowahasa ni mkubwa Monduri ila ni mdogo saaana kwa Tz
 
nasubiri wafuturu fasta fasta mana nasubiri kuona jina la lowassa kutokuwepo kwenye top 5
 
Back
Top Bottom