Henry matata
Member
- Jan 20, 2015
- 8
- 0
Cc wameanza saa ngapi? Bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Marekani alinipeleka babako?
nina mashaka lowasa akikatwa kikao kitavurugwa
mmh kama huu jamaa akikatwa sijui itakuwaje
hivi kwanini akili za watu wanawaza lowassa tu kwenye hii inshu ya leo /
?
Lisaa limoja lijalo kamati kuu ya ccm kumaliza kikao chake kutoa nafasi ya kikao cha baadae hapo saa nne.
ni saa kumi na mbili jioni polisi wakiwa kwenye magari, falasi pamoja na magari ya washawasha yametanda mitaani, hali inaonyesha mji wa dodoma kuna hali ya tahadhari polisi ni wengi mno
Kuna kitu kinaenda kutokea muda mfupi ujao, wajumbe wa mkutano mkuu wamejaa katika viwanja vya jengo la white house
Ni dodoma isiyo na tofauti na somalia muda huu
stay turned
uhusiano wa mwanafunzi kugongwa na gari na rushwa viko wapi?Jamani mliopo hko Dodoma karibu na ukumbi wa ccm tunaomba tupeni update kwa kinachoendelea hko kuhusu nani kaputishwa ili ukawa tushangilia maana yeyote atakayepitishwa ccm kwishineee.tujulisheni wadau..
Pia Leo kituo cha police bunju maeneo ya usalama kimechomwo moto na wanafunzi baada mwanafunzi mwenzao kugongwa na gari mida ya asubuhi.
Bahati mbaya sikuweza kupiga picha maana nilikuwa kwenye daladala natokea bagamoyo naenda dar.
Hizi zote nidalili kuonyesha namnagani watu walivyochoka na uonezi,watu hawapewi haki zao na rushwa imetawala ndo maana hata watoto wetu wameamua kujichukulia sheria mkononi.
Tukutane October,watanzania tuamuke tumeibiwa na kuonewa vyakutosha!
''Lowasa ni kama Mtume Mohamad'' By Madabida.
hivi kwanini akili za watu wanawaza lowassa tu kwenye hii inshu ya leo /
?
Maaana ni fisadi wa africa mashariki na kati
Mmmh wanakatwa hawakatwi
lisipokuwepo wataipenda kwa sababu sisi wananchi ndio tunamtaka.