Amina bado! Magufuli rais na Asha makamu full stop!
Hapo kwenye HITMANS umenikumbusha mengi...!!!
kumbe TZ wapo???
Pombe hajasema CV yake, anajisifu barabara, kajenga kwa hela ya mfukoni mwake?
This is is a shame, huu ndio mpango w awaswahili?Mbona mwanamke mmoja kama kakarishwa km katuni na mwingine km kapelekwa kusidikiza wakati magufuli km kawaida ni kondoo wa kafara na robot la ccm ?
Yaani kweli hiyo ndo tatu bora ya CCM kati ya wale wote 38?
Really CCM? Really....?
Hahahaaaa.......daaaaah.
Kenge wewe nimepiga whisky za kutosha,ninywe banana nina shida gani wakati plani yangu dhidi ya ccm bdo inakwenda km nilivyotaka?..banana kanywe wewe na wakwere wenzio..Nafurahi sana Lowasa alikuwa kenge sana akaamini waswahili akidhani kwana maana.Masaia ni masaia tuu hata akienda mjini miaka nenda rudi.Wewe naona umeishakunywa banana zako unatokwa povu tu sasa.
Elimu ya uraia inahitajika sana!. Rais akitoka upande mmoja, makamo u[pande mwingine!.Amina bado! Magufuli rais na Asha makamu full stop!
Yaani kweli hiyo ndo tatu bora ya CCM kati ya wale wote 38?
Really CCM? Really....?
Hahahaaaa.......daaaaah.
CV yake ni kujenga barabara na kumsifia Jk
Ukawa jiandaeni kuchukua nchi ya tanzania 2015....
hivi kwa nini nisicheke?!!!!Ngosha hata mimi imenifikirisha sana hii tatu bora! really hawa ndo wakukabidhiwa supreme power???! Bongo bado tupo nyuma sana! magufuli full local and unpresentable! angalau Migiro japo naye kakaa kama kasuku!