Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elimu ya uraia inahitajika sana!. Rais akitoka upande mmoja, makamo u[pande mwingine!.

Mnao tu update mkutano asanteni, mimi niko na Telemundo, nafuatilia mkutano kupitia jf.

Pasco

Hahaha hahahaha
 
Sijaipenda arrangement ya upigaji kura, utaratibu haujawa mzuri kabisa, naona kura hazijawa za siri. My be uwingi wa watu compared to ukumbi nauona mdogo
 
Membe pamoja na mbwebwe zote mpaka za mizimu leo ameungana na mwenzake Lowasa safari ya huzuni .

VOTE FOR UKAWA

Mizimu ni adui mkubwa wa maendeleo na kichocheo kikubwa cha ujinga na umaskini. Mungu katuepusha na hilo.
Sasa akaendelee kutambika
 
Ngosha hata mimi imenifikirisha sana hii tatu bora! really hawa ndo wakukabidhiwa supreme power???! Bongo bado tupo nyuma sana! magufuli full local and unpresentable! angalau Migiro japo naye kakaa kama kasuku!

Huyo Migiro yuko boring kinoma.

Da Amina hata sina la kuongeza.

Magufuli naye yupo yupo na takwimu zake ambazo hazijawa verified.

Bado sielewi imekuwaje hawa watatu ndo wakafika mbali hivi.
 
Team Membe watampa Migiro na Magufuli;team Lowassa watampa Amina na wachache watampa Magufuli.Amina atakuwa na kura za ziada kutoka Zanzibar.

Kwa mahesabu haya,Amina,japo hajui kujieleza,ana nafasi kubwa zaidi endapo kura zitapigwa kimakundi na zaidi Amina ameonyesha kujali uwepo wa Lowassa wakati Magufuli kapuuzia kuomba kura za kundi la Lowassa.

Ni mtazamo wangu.

Mkuu mtazamo haupingwi ila naomba tazama tena.....,!!!!!
 
Team Membe watampa Migiro na Magufuli;team Lowassa watampa Amina na wachache watampa Magufuli.Amina atakuwa na kura za ziada kutoka Zanzibar.

Kwa mahesabu haya,Amina,japo hajui kujieleza,ana nafasi kubwa zaidi endapo kura zitapigwa kimakundi na zaidi Amina ameonyesha kujali uwepo wa Lowassa wakati Magufuli kapuuzia kuomba kura za kundi la Lowassa.

Ni mtazamo wangu.

na ndio kinachosubiliwa hapa....na huyo mama kwenye tatu bora kawa wa pili na magufuli kamzidi kura sita tu...
 
Duh, huo upigaji kura...kweli bado tuna safari ndefu!
 
Wenye malori watakoma magufuli akishinda...kwa jinsi walivyomzarau wakati wa ule mgomo wao.

Mkuu wenye malori ndio hao hapo wanamwambia "una dk 15 tu za kuongea.." muda si mrefu watamwambia "una kampuni za malori 15 za kuzilinda" teh teh!
 
hivi kwa nini nisicheke?!!!!

Hii Nchi bado sana! Chama kubwa kama CCM walishindwa kweli kumuandaa right candidate? yaani hawa wote wamekutana na huu urais barabarani aisee kwenye hii list hakuna Rais hapo hii ni total failure kwa CCM.
Natamani huko kwa jirani UKAWA wampitishe Prof Lipumba anauelewa na masuala mapana ya Nchi Kimataifa na Modern Economy sio hawa ma mburula they act as they havent gone to school yaani too local aisee!!
 
Huyo Migiro yuko boring kinoma.

Da Amina hata sina la kuongeza.

Magufuli naye yupo yupo na takwimu zake ambazo hazijawa verified.

Bado sielewi imekuwaje hawa watatu ndo wakafika mbali hivi.

figisu figisu za ndani ya chama ndo zimepelekea yote haya..walijitokeza watu heavy wenye historia lakini walifyekwa mapemaa...
 
Duuu mkuu kuna watu walitangaza nia shinyanga kupitia chadema leo yupo ccm haaahaa ukawa kazi ipo
 
Back
Top Bottom