Elimu ya uraia inahitajika sana!. Rais akitoka upande mmoja, makamo u[pande mwingine!.
Mnao tu update mkutano asanteni, mimi niko na Telemundo, nafuatilia mkutano kupitia jf.
Pasco
Membe pamoja na mbwebwe zote mpaka za mizimu leo ameungana na mwenzake Lowasa safari ya huzuni .
VOTE FOR UKAWA
Ngosha hata mimi imenifikirisha sana hii tatu bora! really hawa ndo wakukabidhiwa supreme power???! Bongo bado tupo nyuma sana! magufuli full local and unpresentable! angalau Migiro japo naye kakaa kama kasuku!
mkuu vipi mbona hasira tena......!!!!!!
Team Membe watampa Migiro na Magufuli;team Lowassa watampa Amina na wachache watampa Magufuli.Amina atakuwa na kura za ziada kutoka Zanzibar.
Kwa mahesabu haya,Amina,japo hajui kujieleza,ana nafasi kubwa zaidi endapo kura zitapigwa kimakundi na zaidi Amina ameonyesha kujali uwepo wa Lowassa wakati Magufuli kapuuzia kuomba kura za kundi la Lowassa.
Ni mtazamo wangu.
Inategemea nini sasa km nina IQ kubwa na uzalendo mkubwa kuliko wewe kengde hata nikilewa nini kitakuongezea gray matter?Inategemea kama unaongea ukiwa umelewa au sober!!
Msukuma wa Chato, Kagera.
Team Membe watampa Migiro na Magufuli;team Lowassa watampa Amina na wachache watampa Magufuli.Amina atakuwa na kura za ziada kutoka Zanzibar.
Kwa mahesabu haya,Amina,japo hajui kujieleza,ana nafasi kubwa zaidi endapo kura zitapigwa kimakundi na zaidi Amina ameonyesha kujali uwepo wa Lowassa wakati Magufuli kapuuzia kuomba kura za kundi la Lowassa.
Ni mtazamo wangu.
Wenye malori watakoma magufuli akishinda...kwa jinsi walivyomzarau wakati wa ule mgomo wao.
Msukuma wa Chato, Kagera.
Inavyoonekana Team Lowassa wanataka kumwaga mboga kumpa Amina ili ccm ishindwe kuprove kwamba walikosea kumkata.
mkuu team lowassa hao
Kama kweli bado wana hasira,hawatajali uwezo wa mtu bali kukomoana tu.Ila kama hasira zimeisha,basi atapita Magufuli.Mkuu mtazamo haupingwi ila naomba tazama tena.....,!!!!!
hivi kwa nini nisicheke?!!!!
Huyo Migiro yuko boring kinoma.
Da Amina hata sina la kuongeza.
Magufuli naye yupo yupo na takwimu zake ambazo hazijawa verified.
Bado sielewi imekuwaje hawa watatu ndo wakafika mbali hivi.
Mkuu wenye malori ndio hao hapo wanamwambia "una dk 15 tu za kuongea.." muda si mrefu watamwambia "una kampuni za malori 15 za kuzilinda" teh teh!
siku hizi ni geita...mikoa imeongezwa kifigisufigisu ili kuwapa ulaji washikaji walionisaidia kuingia ikulu.