Mmh hapo kuna kitu kinanukia, nandani Nguvu ya dola soon inakwenda kupambana na nguvu ya wanaCCM. Muda sio mrefu msiba mzito huenda ukatanda kwa kambi fulani. Tunasubiri.
Mmmmmmh! ngoja nimeze panadol
Lowasa tano bora kama kawa
ameshakatwa au bado?
Ni Lowasa!
Ni Lowasa!
Kwani ameshakatwa?
Ccm itatoa mgombea atakaye waunganisha watanzania kwa itikadi zao na imani zao, sifa hz ndio chaguo la kamati