Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kwani ungeondoa neno la kuniita "Mwehu" ungepata hasara gani?

Any way umeonyesha ni namna gani wazazi wako walivyo (mtoto umleavyo ndivyo akuavyo)

Kwani Engineer husomea masomo gani?


Samahani kama neno Mwehu limekukwaza.

Ila ni kwamba Magufuli ni Mwalimu wa Masomo ya Hesabu na Chemia kwa shule ya Sekondari.

Nikiwa na maana kuwa amesomea Ualimu.
 
Doh hayabana kupngezea nikajasiriamali pia ..ule ukumbi wa sinza.makaburi.i unaingia kulia kama unaenda kuitafuta mliman city uko kulia ulijengwa kwa miezi minne......
 

15.Kuwawajibisha wale waliokula mali za umma na kurudisha mali zote zilizoporwa na mafisadi.....
 
Dah kweli Tanzania tunashangaza ulimwengu kwa kufanya majaribio mpk taasisi ya urais! hivi ccm ilikosa kupata presidential material kweli najuuuta kuwa mdanganyika
 
Tatizo la Magufuri ni mkurupukaji anatoa maamuzi bila kuangalia negative effects mfano kuvunja shell kule Mwanza na Meli ya wachina na kuna wakandarasi kibao alivunja mikataba bila kufuata mwisho wa siku serikali inaliwalipa fidia.

HIVI MKUU hapo nani tatizo SHERIA ZETU(haziko sawa) ama MAGUFURI(alivunja sheria)
 
aje magufuli ukawa ushindi ni lazima sisi hatuangalii mtu tunaangalia na chama alichomo
kina ajenda gani??

ukawa tuna ajenda ambazo hata magufuli hawezi tia mguu hawazi kabisa kufurukuta

1. kufufua mchakato wa katiba mpya -rasimu ya warioba

2.kuimarisha muungano wa jamuhuri ya tanzania kwa muundo wa serikali tatu

3. kubana matumizi ya serikali -kusitisha ununzi wa magari na maposho yasiyo na tija

5. kufuta misamaha ya kodi kwa makampuni makubwa pamoja na kufuta na kupunguza viwango vya kodi
kwenye bidhaa vifaa ya ujenzi kilimo viwanda na vyakula

6.kudhibiti matumizi ya dola na usafirishaji dola nje, pamoja na kupunguza inflation

7. kushusha kodi kwenye bidhaa za ujenzi

8. kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu

9. kurudisha miswada yote iliyopitishwa kwa hati ya dharula ili ipite katika utaratibu wa kawaida ili ijadiliwe na bunge ipitishwe

10. kutengua mikataba17(MOU) ya kinyonyaji aliyoisani jk na wachina

11 kusitisha ujenzi wa bandari ya bagamoyo ili kuimarisha bandari ya dar tanga na mtrwara

13.kupitia upya mikataba ya madini,mafuta na gesi na nakuifuta ilie isiyo na maslahi kwa nchi

14 mengine mtaongeze

kwa hayo niliyo yaainisha hapo juu sidhani kama yanaweza kuwemo kwenye ilani ya CCM ambayo kama magufuli ateuliwa kugombea uraisi itabidi ainadi,

kwa mantiki hiyo pamoja na uchapakazi wa maghufuli hizo ajenda hapo juu hawezi zigusa labda kama hajipendi,

kwa jinsi ninavyo wajua ccm kwenye ilani yao watakuja na ahadi za ulaghai, kama kuongeza mishahara, kujenga barabara, kununua meli, na vivuko

ajenda nzito zinzoweza inua uchumi wa nchi kwa miaka mitano hawawezi kuzikubali wakabaki salama
hizo ajenda zitawezekana tu tukiwapa nchi ukawa, kama mnampenda mghufuli mchukueni mkanyywe naye chai
 
Hivi nyie mnaosema michepuko ya wenzenu nyie ni wasafi ???
 
Wewe humjui magufuli vizuri!

Nyie Team Lowasa ndo mmekwamishwa na Kikwete, Kikwete katimiza lengo lake la kum factorise Lowassa at any cost, na ameweza ku wa contain team lowasa mkubaliane na anguko na mtu wenu na kuimba iyena iyena wakati Lowasa anaugulia maumivi, nyei ni wasaliti, mmekula hela za mzee halafu mme compromise kirahisi tu, wanafiki walikuwa wamemzunguka Lowasa.
 
no 1 2 3 8 9 10 ni masuala ya kiserikali-baraza lote la mawaziri. Mengine hayo ni chuki zako binafsi. NI nani katika ccm hayafanyi. Hata wewe katika maisha yako umefanya ngono na mtu mmoja tu? (kwa mfano)

Hizo affairs ndugu yangu sio work ethics maadili lazima yazingatiwe ata hayati mwalimu alishawahi sema na nchi za wenzetu kosa ili kubwa sana unaweza kupata penalties sasa wewe unataka kutetea uzinzi kuwa kitu cha kawaida ata kama wote tunafanya as long as mtu yupo capable kusaliti vow ya ndoa ambayo inawekwa kanisani sio kazi ngumu kusaliti vow nyingine yeyote ilo nalo doa bwana regardlessly
 

Magufuli ni mzinzi balaa
 

Nakubaliana na wewe lakini Kikwete na ubovu wake wote wa hotuba ameweza sembuse Magufuli? Hii ni Tanzania ambapo wananchi bado wako kwenye primitive stage na bado hawajaweza ku-notice vitu vilivyo kwenye level hiyo unayozungumzia. Tatizo ninaloliona kwenye hotuba za Magufuli ni ku-attack upinzani kwa vijembe kila baada sentensi kadhaa. Mambo ya aina hii yamepitwa na wakati na dunia ya leo watu wamekomaa kiakili hivyo rais inabidi uonyeshe akili kubwa na sio vijembe visivyo na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…