Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Naona kila anayesimama kuongea anawaponda mafisadi. Kumbe walikuwa wanakula tu fedha zao lakini kura hawaampa fisadi mkuu

Eeeeeh!
Nape anakung'uta gitaaa! Nimemuona ktk luninga kaunga tela na TOT jukwaani.

Nape roho kwatuuuuu! Fisadi limeangushwa

Hii midomo mirefu itawacost nawaambieni.

Naona mnajipongeza baada ya kumkata kipenzi cha watu na kumweka Mkandarasi ili alinde ufisadi wa mfalme na wafuasi wenu.

Amini nawaambieni hamuwezi kuzuiya mafuriko kwa mikono.

Mark my word
 
Yametimia ya mwalimu Nyerere. Watanzania tunataka mabadiliko chama kimejivua nguo watanzania tumeona.
 
Wakuu hebu tuangalie upande mwingine maana naona tumeelekeza gumzo Dodoma tumesahau UKAWA Nao wako kwenye mchakato huko Dar kumpata mgombea wa UKAWA. Hebu mwenye taarifa ya kinachojiri huko atujuze tafadhali....
 
[h=2]Magufuli Hafai Kuwa Rais: Siyo Msafi na Hajawahi kuwa Msafi[/h]
1. Nyumba za Serikali
Kwa hakika hili ni doa kubwa sana kwa Magufuli. Ni katika kipindi alichokuwa Waziri wa Ujenzi (awamu ya 3) alishawishi kwa nguvu na msukumo mkubwa sana mpaka kufanikiwa uuzaji wa nyumba za serikali.

Hii hatua ya Magufuli halina tofauti na kile alichokiita CAG Professor Assad “Political Entrepreneurship”. Professor Assad mara baada ya kuingia madarakani alisema wazi kwamba mradi wa Magufuli wa kuuza nyumba za serikali ni ufisadi mkubwa sana. Professor Assad alizidi kusema ya kwamba alichokifanya Magufuli yalikuwa kwa manufaa yake binafsi na ilikuwa ni “personal political entrepreneurship”.

Katika uamuzi huo, Magufuli alienda mbali zaidi mpaka kugawa bure baadhi ya nyumba kwa ndugu zake na mahawara zake. Kwa mfano Dada Kabula ambaye ni mmiliki hewa wa Kebby’s Hotel iliyopo Mwe
Duh! no comment.....​
 
Kwa kanda ya Ziwa ilivyozizima jana usiku na sms kutembea sana usiku baada ya Magufuli kuwa 3 bora!?UKAWA tunayo kazi

Kanda ya ziwa ipi,mimi nipo sengerema huku,hakuna cha sms wala kuzizima unakokusema.
 
Hii midomo mirefu itawacost nawaambieni.

Naona mnajipongeza baada ya kumkata kipenzi cha watu na kumweka Mkandarasi ili alinde ufisadi wa mfalme na wafuasi wenu.

Amini nawaambieni hamuwezi kuzuiya mafuriko kwa mikono.

Mark my word

Mnaelekea ACT kuendeleza safari ya matumaini??
 
Magufuli lazima apewe 'wold order'. Tuko nayo mikononi hapa!
Nyie mmlitamba sana lazima mmshinde kiko wapi sasa.Yani mlifikiri fisadi wenu atashinda?Sasa jiandaeni kurudisha ela za watu mlizopiga la sivyo mtaolewa.
Na hii itakuwa fundisho kwenye uchaguzi mwingine hamtafanya upumbavu kama huu wa team na kujiaminisha mtashinda.
Magufuli hampi lowasa nafasi yoyote ni bora muende ACT mapema,amini usiamini tano bora ndio inanafasi ya kupewa nafasi kubwa serikalini.Naamini baada ya siku chache utabadilisha jina hutojiita tena team lowasa.
 
kiukweli magufuli silitaki liwe rais ,misukuma ni mishamba sana itatusumbua sie watanzania.slaa chukua nchi
 
Hii midomo mirefu itawacost nawaambieni.

Naona mnajipongeza baada ya kumkata kipenzi cha watu na kumweka Mkandarasi ili alinde ufisadi wa mfalme na wafuasi wenu.

Amini nawaambieni hamuwezi kuzuiya mafuriko kwa mikono.

Mark my word

Hicho ulichoni-quote kinahusiana vipi na midomo mirefu??
Ngoja nikwambie, mimi sina chama ila sikuwa Timi zako eidha ya Lwasa au Membe, wangepitishwa hawa watu Ningewapa kura yangu ukawa, ila Magufuri anafaa!
 
Back
Top Bottom