Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,823
- 3,831
Naona kila anayesimama kuongea anawaponda mafisadi. Kumbe walikuwa wanakula tu fedha zao lakini kura hawaampa fisadi mkuu
Eeeeeh!
Nape anakung'uta gitaaa! Nimemuona ktk luninga kaunga tela na TOT jukwaani.
Nape roho kwatuuuuu! Fisadi limeangushwa
Hii midomo mirefu itawacost nawaambieni.
Naona mnajipongeza baada ya kumkata kipenzi cha watu na kumweka Mkandarasi ili alinde ufisadi wa mfalme na wafuasi wenu.
Amini nawaambieni hamuwezi kuzuiya mafuriko kwa mikono.
Mark my word