Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,823
- 3,831
Naona kila anayesimama kuongea anawaponda mafisadi. Kumbe walikuwa wanakula tu fedha zao lakini kura hawaampa fisadi mkuu
Eeeeeh!
Nape anakung'uta gitaaa! Nimemuona ktk luninga kaunga tela na TOT jukwaani.
Nape roho kwatuuuuu! Fisadi limeangushwa
[h=2]Magufuli Hafai Kuwa Rais: Siyo Msafi na Hajawahi kuwa Msafi[/h]1. Nyumba za Serikali
Kwa hakika hili ni doa kubwa sana kwa Magufuli. Ni katika kipindi alichokuwa Waziri wa Ujenzi (awamu ya 3) alishawishi kwa nguvu na msukumo mkubwa sana mpaka kufanikiwa uuzaji wa nyumba za serikali.
Hii hatua ya Magufuli halina tofauti na kile alichokiita CAG Professor Assad Political Entrepreneurship. Professor Assad mara baada ya kuingia madarakani alisema wazi kwamba mradi wa Magufuli wa kuuza nyumba za serikali ni ufisadi mkubwa sana. Professor Assad alizidi kusema ya kwamba alichokifanya Magufuli yalikuwa kwa manufaa yake binafsi na ilikuwa ni personal political entrepreneurship.
Katika uamuzi huo, Magufuli alienda mbali zaidi mpaka kugawa bure baadhi ya nyumba kwa ndugu zake na mahawara zake. Kwa mfano Dada Kabula ambaye ni mmiliki hewa wa Kebbys Hotel iliyopo Mwe
Duh! no comment.....
Kwa kanda ya Ziwa ilivyozizima jana usiku na sms kutembea sana usiku baada ya Magufuli kuwa 3 bora!?UKAWA tunayo kazi
Hii midomo mirefu itawacost nawaambieni.
Naona mnajipongeza baada ya kumkata kipenzi cha watu na kumweka Mkandarasi ili alinde ufisadi wa mfalme na wafuasi wenu.
Amini nawaambieni hamuwezi kuzuiya mafuriko kwa mikono.
Mark my word
Mnaelekea ACT kuendeleza safari ya matumaini??
Nyie mmlitamba sana lazima mmshinde kiko wapi sasa.Yani mlifikiri fisadi wenu atashinda?Sasa jiandaeni kurudisha ela za watu mlizopiga la sivyo mtaolewa.Magufuli lazima apewe 'wold order'. Tuko nayo mikononi hapa!
Sawa kabisa awe anatumia polite language na aongee kiheshima na busara.Lazima ajirekebishe hapo. Sasa inabidi awe mwanasiasa, na sio chemist. Aanze kujifunza cheusi kuita cha njano. Teh teh.
Yaani ndani ya masaa 48 safari ya matumaini imekuwa historia
Hii midomo mirefu itawacost nawaambieni.
Naona mnajipongeza baada ya kumkata kipenzi cha watu na kumweka Mkandarasi ili alinde ufisadi wa mfalme na wafuasi wenu.
Amini nawaambieni hamuwezi kuzuiya mafuriko kwa mikono.
Mark my word