barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Jumla ya kura 2422,
Zilizoharibika 6
kura safi 2416
Magufuli >kura-2104 sawa na 87.1%
Asharose >kura-59 sawa na 21.4%
Amina >kura-253 sawa na 10.5%
Duh! Migiro kura 50?
Jumla ya kura 2422,
Zilizoharibika 6
kura safi 2416
Magufuli >kura-2104 sawa na 87.1%
Asharose >kura-59 sawa na 21.4%
Amina >kura-253 sawa na 10.5%
Usimpunguzie magufuli bana ni 87.1%
Mgombea mwenza kujulikana soon
Nimefurahiii
Hatimaye kitimoto kuanza kuliwa tena ikulu
Kwasababu UKAWA chini ya Dr.Slaa ataingia Ikulu saa 4 asubuhi October 25 mapema mwaka huu
huu wimbo unaoimbwa "wacha waisome namba heeee....sisiemu mbele kwa mbeleee".... dah wimbo umeniuma huu!!.....yan maneno gan ya kutuambia sisi hayo!!!?
Hizi hesabu zako zina walakini,
Ahaaaa wapi.... CCM mbele kwa mbeleeeeee