Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Jumla ya kura 2422,
Zilizoharibika 6
kura safi 2416

Magufuli >kura-2104 sawa na 87.1%

Asharose >kura-59 sawa na 21.4%

Amina >kura-253 sawa na 10.5%

"Ulisoma" shule gani hizi hesabu zako??
Migiro na Amina naona kwenye % umekosea kidogo!
 
Sioni shamrashamra kabisa kama tulivyozoea, naona ni sherehe ya kulazimishana, najaribu ku'imagin ingekuwa shamrashamra ya aina gani ingekuwa ni Mh. LOWASA?
 
Jumla ya kura 2422,
Zilizoharibika 6
kura safi 2416

Magufuli >kura-2104 sawa na 87.1%

Asharose >kura-59 sawa na 21.4%

Amina >kura-253 sawa na 10.5%

John ni jembe ila mfumo utamfanya kuwa wa kawaida sana.
 
mimi sioni kama mchuano ulikuwa mkali haiwezekani watatu halafu mmoja awe na ushindi wa hivyo .......kuna kitu sio sawa

hata ile 50/50 wanayotamba nayo ccm mbona sijaiona kimatendo?
 
huu wimbo unaoimbwa "wacha waisome namba heeee....sisiemu mbele kwa mbeleee".... dah wimbo umeniuma huu!!.....yan maneno gan ya kutuambia sisi hayo!!!?
 
huu wimbo unaoimbwa "wacha waisome namba heeee....sisiemu mbele kwa mbeleee".... dah wimbo umeniuma huu!!.....yan maneno gan ya kutuambia sisi hayo!!!?

Haaaaaaaa ni kweli mtaisoma namba, mtajijua wenyewe lol
 
Back
Top Bottom