Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

hivi kwanini akili za watu wanawaza lowassa tu kwenye hii inshu ya leo /
?
 
nina mashaka lowasa akikatwa kikao kitavurugwa

wapi/pumba zitaondoka mchele utabaki .nyerere alishatuonyesha njia,

kazi ya walinzi ni kufungua milango wanaotaka kuondoka waende,
 

Mkuu, haya yanawezekana Burundi. TANZANIA, nchi ya Amani na utulivu masilaha yote hayo ya nini? Labda kikao hicho kingekuwa ni cha CHADEMA.
 
lisipokuwepo wataipenda kwa sababu sisi wananchi ndio tunamtaka.
 
Kamati kuu mbona mnatupa presha ?

Ucheleweshaji huu ni wa nini mpaka saa hizi. Ni sawa sawa na kumpa mchoyo agawe chakula
 
uhusiano wa mwanafunzi kugongwa na gari na rushwa viko wapi?
 
nape futuru haraka ututajie hiyo top five
 
Kama msomaji majina ni Nape basi hata kama Lowasa kapita amini jina hatosoma
 
Wamezoea khchelewesha matoke ya kura ili wapate kuchakachua sasa Leo wanataka kuchakachua majina ya wagombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…