Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nadhani Jaramogi Odinga atakuwa amefurahi sana rafiki yake Pombe kapata nomination ..
 
mkuu hizi ndio kama mind games za Jose Mourinho malalamiko hyatachelewa nakuunga mkono kabisa
 
huu wimbo unaoimbwa "wacha waisome namba heeee....sisiemu mbele kwa mbeleee".... dah wimbo umeniuma huu!!.....yan maneno gan ya kutuambia sisi hayo!!!?


Wacha waandamaneeeee....ccm mbele kwa mbeleeee...
Hili ni dongo kwa ukawa
 
Huyu ndiye afadhari ya waliopo mbele yetu, yawezekana akawa mbovu zaidi ya Kikwete, ila ndio afadhari. Mbona Obama nae yuko tofauti na matarajio ya wengi????
Tiiiiized baaaaaaaiiiiibiiiiiiiiiiiiiiiiii.
NOTE: Nimeshindwa kuweka vibendera!

Usilinganishe Obama na Marekani yake na Tanzania chini ya CCM.

Chama cha Obama hakijatawala Marekani tokea uhuru wao.
 
mkuu hizi ndio kama mind games za Jose Mourinho malalamiko hyatachelewa nakuunga mkono kabisa

Huyu uliyem-quote nimeona jana anamuunga mkono Balozi Amina, KWELI huyu ni zaidi ya Magufuli au ndo unafiki wa watized huu! sijajua ktk wale 38 alikuwa anamsapoti yupi.
Kwa hiyo ndugu yangu chaguo lako ktk wale 38 alikuwa nani au ni ukawa na yeyote atakayesimamishwa?
 
mkuu hizi ndio kama mind games za Jose Mourinho malalamiko hyatachelewa nakuunga mkono kabisa

We subiri tu utaona...

Hawa wanaojifanya wamerudi kuiunga mkono CCM ndo watakuwa wa kwanza kuanza kulalamika humu.

Na mimi nawapa mwaka tu.....
 
Huyu uliyem-quote nimeona jana anamuunga mkono Balozi Amina, sijajua ktk wale 38 alikuwa anamsapoti yupi.
Kwa hiyo ndugu yangu chaguo lako ktk wale 38 alikuwa nani au ni ukawa na yeyote atakayesimamishwa?

Unaona sasa mlivyo na akili nyepesi...

Hivi kabisa kwa akili yako ulidhani mimi nilikuwa namuunga mkono kwa dhati Da Amina?

Really? Seriously?
 
We need to uproot the whole system Magufuli ata awe msafi vipi lazima anaenda sambamba na policies za chama chake goals za chama chake apa nikuwatoaa awa wote kama una akili timamu utakubali tuu
 
mtoto wa msoga huyo...hatabiriki eti..we si umeona panya alivyotolewa ndani ya mtungi!!..

Umenikumbusha usemi wa Mr Nape Nnauye aliyeasisi huu msemo wa kumumwaga panya na kumuua kivyake badala ya kuvunja mtungi ili kumuua huyo panya!!!!
 
Unaona sasa mlivyo na akili nyepesi...

Hivi kabisa kwa akili yako ulidhani mimi nilikuwa namuunga mkono kwa dhati Da Amina?

Really? Seriously?

Prove me wrong!
Niliona comments zako, kama "haukuwa au haukuwa" vyote sawa.
 
Hata JK alishadadiwa hivihivi 2005 ila yaliyotokea wote tunajua, lets wait and see, hawa watu wanajua kucheza na mind zetu sn, magufuli anaweza akawa mtu sahihi(japo nahofu hilo) ila sasa system ikaenda ikamvuruga kabisaaaa!!
 

Dr John P. Magufuli ni mali ya usalama wa Taifa sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…