barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Sina hata haja ya kukuthibitishia visivyo kwa sababu sidhani hata kama una uwezo wa kusoma na kung'amua.
Baki tu kama ulivyo.
Sijawahi ona uzi mrefu kama huu.
Hata JK alishadadiwa hivihivi 2005 ila yaliyotokea wote tunajua, lets wait and see, hawa watu wanajua kucheza na mind zetu sn, magufuli anaweza akawa mtu sahihi(japo nahofu hilo) ila sasa system ikaenda ikamvuruga kabisaaaa!!
Usilinganishe Obama na Marekani yake na Tanzania chini ya CCM.
Chama cha Obama hakijatawala Marekani tokea uhuru wao.
Tena mimi nadhani JK ilikuwa zaidi hata ya huyu jamaa.....
Huyu Magufuli anafaa kuwa waziri tu lakini si urais.
Kuna watu watakuja kuona aibu kwa niaba yake huyu mtu....niaminie haya nayosema.
Kama watu walikuwa wanaona Kikwete wakati mwingine anatuaibisha akienda kwa mfano huko Davos kwenye yale makongamano basi huyu ndo bomu zaidi mara 100.
Mtaja nambia tu....
Tena mimi nadhani JK ilikuwa zaidi hata ya huyu jamaa.....
Huyu Magufuli anafaa kuwa waziri tu lakini si urais.
Kuna watu watakuja kuona aibu kwa niaba yake huyu mtu....niaminie haya nayosema.
Kama watu walikuwa wanaona Kikwete wakati mwingine anatuaibisha akienda kwa mfano huko Davos kwenye yale makongamano basi huyu ndo bomu zaidi mara 100.
Mtaja nambia tu....
Vipi membe ana hali gani
Dr John P. Magufuli ni mali ya usalama wa Taifa sasa!
He has been for the past month, HUKUONA kwa kuwa hukutazama..., Mnachezewa Shere na JK.
Huyo unaye mtaka wewe hayupo na hajazalkwa bado
Trust me
Weweee, ule uzi ulikuwa wa kuwakamata watu kama nyinyi
Hatimaye kitimoto kuanza kuliwa tena ikulu
mimi sioni kama mchuano ulikuwa mkali haiwezekani watatu halafu mmoja awe na ushindi wa hivyo .......kuna kitu sio sawa
hata ile 50/50 wanayotamba nayo ccm mbona sijaiona kimatendo?
System nzima ya CCM ni mbovu hata awekwe nani tusitegemee mambo mapya yatakua Yale Yale tu.We need to uproot the whole system Magufuli ata awe msafi vipi lazima anaenda sambamba na policies za chama chake goals za chama chake apa nikuwatoaa awa wote kama una akili timamu utakubali tuu
Mkuu hao kina mama walitengenezwa tu,ili angalau waonekane washindani..!! Lakini huyu Jamaa inaonekana aliandaliwa kitambo sana. Na ili kutambua hilo ndiomaa wakampatia washindani dhaifu kama hao. System imeshfanya kazi. Hata kama angekuwepo mama wa shoka kiasi gani katu asingepitishwa..!!
Hii nchi haijawa tayari kuongozwa na Mwanamke, Ni hayo tu mkuu...!!
BACK TANGANYIKA
Yani hapo ndo nashindwaga kuelewa watu. Nakumbuka Jk alishabikiwa ooh Mara handsome, tabasamu, chaguo LA Mungu mchapa kazi,matokeo yake sasa kilichotokea kila mtu analalamika tu.Hata JK alishadadiwa hivihivi 2005 ila yaliyotokea wote tunajua, lets wait and see, hawa watu wanajua kucheza na mind zetu sn, magufuli anaweza akawa mtu sahihi(japo nahofu hilo) ila sasa system ikaenda ikamvuruga kabisaaaa!!