Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Sina hata haja ya kukuthibitishia visivyo kwa sababu sidhani hata kama una uwezo wa kusoma na kung'amua.

Baki tu kama ulivyo.

Nashukuru kwa tusi ulilolivisha gauni kwangu, ila nimeliona!
NOTE: Nakutakia kheri zote ktk mchakato wa kutafuta green card, but it's NOT a walk in the park though, you have to sacrifice some. Think wisely!
 
Hata JK alishadadiwa hivihivi 2005 ila yaliyotokea wote tunajua, lets wait and see, hawa watu wanajua kucheza na mind zetu sn, magufuli anaweza akawa mtu sahihi(japo nahofu hilo) ila sasa system ikaenda ikamvuruga kabisaaaa!!

Tena mimi nadhani JK ilikuwa zaidi hata ya huyu jamaa.....

Huyu Magufuli anafaa kuwa waziri tu lakini si urais.

Kuna watu watakuja kuona aibu kwa niaba yake huyu mtu....niaminie haya nayosema.

Kama watu walikuwa wanaona Kikwete wakati mwingine anatuaibisha akienda kwa mfano huko Davos kwenye yale makongamano basi huyu ndo bomu zaidi mara 100.

Mtaja nambia tu....
 
Kwakweli nina mashaka sanaa na huyu mtu kwa wadhifa wa uraisi, ngoja nisiseme mengi ila time ll tell.
 
Shukran dubu kwa updated.
 
Last edited by a moderator:
Tena mimi nadhani JK ilikuwa zaidi hata ya huyu jamaa.....

Huyu Magufuli anafaa kuwa waziri tu lakini si urais.

Kuna watu watakuja kuona aibu kwa niaba yake huyu mtu....niaminie haya nayosema.

Kama watu walikuwa wanaona Kikwete wakati mwingine anatuaibisha akienda kwa mfano huko Davos kwenye yale makongamano basi huyu ndo bomu zaidi mara 100.

Mtaja nambia tu....

Huyo unaye mtaka wewe hayupo na hajazalkwa bado
Trust me
 
Ccm ndo mtajamba muda wakusema huwezi kumpangia mtu .huu ndiyo muda wenyewe.labda ujambe wewe
 
Huyo unaye mtaka wewe hayupo na hajazalkwa bado
Trust me

Hapana, wala si hivyo hata kidogo.

Kati ya wale 38 walikuwepo waliokuwa wanafaaa [kwa standards za CCM] kuliko huyu jamaa.

Huyu jamaa mtakuja kuona aibu kwa niaba yake, nyie subirini tu.

Watu walidhani JK ni mchemkaji....kwa huyu nakubaliana na Kiranga kwamba mtaja kumwona JK ana afadhali maradufu.
 
Weweee, ule uzi ulikuwa wa kuwakamata watu kama nyinyi

Sijakamatwa, nimeona huyu ndo nafuu mpaka sasa, hata kama anafuata sera za sisiemu, ANGALAU atazitekeleza kwa % kubwa, si sera za sisiemu wala ukawa ambazo zinajitosheleza kwa % mia, na pia nina amini kama mtu mwenye msimamo kiasi fulani atatumia presidential discretion aliyonayo kufanya maamuzi magumu.
Sitegemei MAISHA BORA kwa kila mtanzania, mtaji wa masikini ni nguvu zako, Nguvu ninayo!
Pia Kama upande wa pili watajiuza vizuri na kuonyesha kuwa sera zao zinatekelezeka, ni ruksa kubadili mwelekeo, milango yangu sijafunga!!
NOTE: Mimi sio fanatic wa chama chochote.
 
Hatimaye kitimoto kuanza kuliwa tena ikulu

Hahahahahah

Hii nchi na Ucathilic ni vipi vipi.. Alipotoka Makatoliki Nyerere, akaingia Muislam Mwinyi, (dhehebu kapuni) Akatoka Muislam akaingia Mkatoliki Mkapa. Akatoka Mkapa akaingia Muislam Kikwete (dhehebu kapuni) Anatoka Kikwete anaingia Mkatoliki Dr Slaa/Magufuli...khaaaaaaaaaaa.....!!!!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Mgombea urais wa ccm kasome kiswahili uache kuharibu lugha ya taifa na hicho kiswahiri chako cha bara........
 
mimi sioni kama mchuano ulikuwa mkali haiwezekani watatu halafu mmoja awe na ushindi wa hivyo .......kuna kitu sio sawa

hata ile 50/50 wanayotamba nayo ccm mbona sijaiona kimatendo?

Mkuu hao kina mama walitengenezwa tu,ili angalau waonekane washindani..!! Lakini huyu Jamaa inaonekana aliandaliwa kitambo sana. Na ili kutambua hilo ndiomaa wakampatia washindani dhaifu kama hao. System imeshfanya kazi. Hata kama angekuwepo mama wa shoka kiasi gani katu asingepitishwa..!!

Hii nchi haijawa tayari kuongozwa na Mwanamke, Ni hayo tu mkuu...!!

BACK TANGANYIKA
 
We need to uproot the whole system Magufuli ata awe msafi vipi lazima anaenda sambamba na policies za chama chake goals za chama chake apa nikuwatoaa awa wote kama una akili timamu utakubali tuu
System nzima ya CCM ni mbovu hata awekwe nani tusitegemee mambo mapya yatakua Yale Yale tu.
 
Mkuu hao kina mama walitengenezwa tu,ili angalau waonekane washindani..!! Lakini huyu Jamaa inaonekana aliandaliwa kitambo sana. Na ili kutambua hilo ndiomaa wakampatia washindani dhaifu kama hao. System imeshfanya kazi. Hata kama angekuwepo mama wa shoka kiasi gani katu asingepitishwa..!!

Hii nchi haijawa tayari kuongozwa na Mwanamke, Ni hayo tu mkuu...!!

BACK TANGANYIKA

Halafu kuna watu eti wanaamini jamaa kabahatisha

Hawawezi kujua yaliopo nyuma ya pazia
 
Hata JK alishadadiwa hivihivi 2005 ila yaliyotokea wote tunajua, lets wait and see, hawa watu wanajua kucheza na mind zetu sn, magufuli anaweza akawa mtu sahihi(japo nahofu hilo) ila sasa system ikaenda ikamvuruga kabisaaaa!!
Yani hapo ndo nashindwaga kuelewa watu. Nakumbuka Jk alishabikiwa ooh Mara handsome, tabasamu, chaguo LA Mungu mchapa kazi,matokeo yake sasa kilichotokea kila mtu analalamika tu.
 
Back
Top Bottom