Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kikao kinavurugwaje wakati wanaokata wameelewana tayari na wanaendelea na vikao vingine? Lowahasa ni mkubwa Monduri ila ni mdogo saaana kwa Tz

unadhani mkubwa kwa tz ni nani??..ila ulikuwa ni mtazamo tu jinsi alivyokuwa na kundi kubwa..
 
Nape bwana eti wamalize kufuturi..ana kibri baada ya kumkata ngebe Lowassa
 
Hureeeeeeeeee kudadadadeeeeeki Lowasa ndani ya Top 5,wamebana mwishoe wameachia,mtamsomea Magogoni sasa.
 
Kikao kinavurugwaje wakati wanaokata wameelewana tayari na wanaendelea na vikao vingine? Lowahasa ni mkubwa Monduri ila ni mdogo saaana kwa Tz

Kama unayosema ni kweli mbona out of 38 anaongelewa sana lowassa? Think out of box
 
Lowasa hayupo,Hii ndo list ya walopita
Membe
Migiro
Makongoro
Jaji Ramadhani
Pinda
 
Kwani Wewe Mkoroshokigoli Sifa Za Mnafiki Huzijui? Yeye Si Ameshatoa Hadi Uzi Wake Kuwa Lowassa Kakatwa Sasa Ananiuliza Nini Tena?

By Lizaboni:
"Ni habari njema kusikia kuwa jila la fisadi Lowasa halimo kwenye tano bora. Ni furaha iliyoje. Mliokuwa mnasema kuwa hakatwi sasa mtajibeba"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…