Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

watimize tu wajibu wa katiba ya chama chao, ila ki uhalisia mwaka huu RAIS wa nchi hii hatoki huko!
 
Nadhani na watanzani wanachukulia mgombea wa ccm kama vile ndio Rais, kwanini?? Kama ccm anang'oka October waacheni na mambo yao. Au watz bado tunataka mafisadi???
 
Leo konyagi zimepata wateja sana, kila bar nkiingia naambiwa stock imekata.

Sijui ninywe nini!
 
Jamani kikao cha cc ni kizito kuliko vyote kwani kiamua muelekeo wa nchi msitegemee kitaisha sasa hivi huenda kikaenda mpaka kesho bora ufanye mambo yenu kwanza.
 
Tumechoshwa na uoga wa Ccm kama vipi Tangazeni majina hayo. Lowasa amefanikiwa kukisimamisha chama
 
Kama kweli ccm wame opt kujaza polisi wamekosea sana. Ilitakiwa madaktari bingwa kutoka ujerumani wamwagwe pale ili lowasa asije akatufia bure
 
Nakiona kigugumizi cha Nape kwani ukishapata majina hadi ufuturu ndo uyatoe? Majina yenyewe matano tu si unataja tu ndani ya dakika moja? Labda ameona Lowassa yumo bado anajipanga asije kumwaga machozi wakati wa kutangaza.
 
Papara ya nini?, nani kasema jina la LOWASSA limekatwa ilhali bado hatujasikia ripoti rasmi kutoka CCM? Acheni uzushi wenu!

Pole, dawa inauma ila ndo utakuponyesha, tulia tuu iingie kwa afya yako, emekatwa tayari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…