Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
kwasababu nape anataka kusafisha ccm, na lowassa ni mlengwa mkuu wa safishasafisha ya nape.
Nape msafi??
Kuna msafi ccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwasababu nape anataka kusafisha ccm, na lowassa ni mlengwa mkuu wa safishasafisha ya nape.
Top 5 rasmi
1.Lowassa
2.makongoro
3.sumaye
4.agustino
5.magufuli
Wee hata kubet muhindi atakuwa anakupiga bakora kila mara!Top 5 rasmi
1.Lowassa
2.makongoro
3.sumaye
4.agustino
5.magufuli
Top 5 rasmi
1.Lowassa
2.makongoro
3.sumaye
4.agustino
5.magufuli
Papara ya nini?, nani kasema jina la LOWASSA limekatwa ilhali bado hatujasikia ripoti rasmi kutoka CCM? Acheni uzushi wenu!Umeanza kuwa mpole..pesa mlizokula msimkimbie mzee wenu jamani chondechonde
Hamnaga kitu kama hiki..
yani kusiwepo na hata mmoja wa serikali iliyopo madarakani.???
Hamnaga kitu kama hiki..
yani kusiwepo na hata mmoja wa serikali iliyopo madarakani.???
Namba 1 ndo rais
Papara ya nini?, nani kasema jina la LOWASSA limekatwa ilhali bado hatujasikia ripoti rasmi kutoka CCM? Acheni uzushi wenu!
Papara ya nini?, nani kasema jina la LOWASSA limekatwa ilhali bado hatujasikia ripoti rasmi kutoka CCM? Acheni uzushi wenu!
nape bwana eti wamalize kufuturi..ana kibri baada ya kumkata ngebe lowassa