Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nadhani kwa Tanzania mtu anayeongoza kumchukia lowasa ni kubenea alafu nafuatia mimi....
 
wamemla kichwa......huwezi kujiweka kuwa target halafu ukibutuliwa ulalamike...
 
Hapo patamu na anaombea lowasa asipitishwe maana anaweza akawa mkimbizi ghafla chezea lowasa wewe
 

Sina upande inapokuja masuala ya chama, ila kwa nini wengi mnafikiria UKAWA au ACT wanaweza kumchukua Lwasa apeperushe bendera yao endapo Lwasa atakatwa sisiemu? hilo litakuwa ni bonge la OWN GOAL tena ktk extra time ile ya sudden death goal!!
HAWAWEZI msajili ktk vyama vyao labda wawe mataahira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…