Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.

Umepanic
 
Jinsi mlivyo kula pesa yake kwa ushirikiano..muendelee hivyohivyo wakati anapelekwa ICU
 
CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.

''Lowasa ni kama Mtume Mohamad''. By Madabida.
 
Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.

CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.

UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.

Mkuu sisi tuko pembeni tunachochea kuni kwenye Tanuri..!! Kamwe usidhani kunamgombea yeyote anayeogopwa nasi, Kama ni kuogopa ninyi ndiomnaoogopa kwasababu mlianza kwa kupangua pangua ratiba na mpaka sasa mnaogopa kutangaza majina matono...Why...?

Mkimpitisha moto unawaka nje ya ccm (UKAWA inawababua) Mkimkata moto unawaka (Lowassa anawababua)

Yaani hii ni ile inayoitwa... Ukikojoa nchale,.. Ukitita nchale,.. Ukitema nchale,.. Ukimeza nchale... Yaani ni hatari tupu. Tuko pembeni hapa nyie endeleeni kularurana tu.!!

BACK TANGANYIKA
 
Lowwassa anapingwa kwa kuwa ni wa Kanda ya Kaskazini, na kwamba, akiwa rais atawashughulikia watesi wake
 
CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.

Nambinguni!!
 
Team lowasa mjiandae kisaikolojia, matokeo yako tofauti sana
 
MI CCM Mioga sana mwaka huu utasikia mpaka watoke Tarawei, wakirudi watasema mpaka wale Daku, wakirudi utawasikia sio vizuri kutangaza ukiwa umefunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…