OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kwa hiyo wabadilishe matokeo?mtatapikia hizi hela mwaka huuCCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.
''Lowasa ni kama Mtume Mohamad''. By Madabida.
CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.
Lowasa kua mgombea mwenza wa agustino ramadhani
Huu ndio uamuzi wa busara na hekima kukinusuru chama
ni kweli mkuu nimejaribu kuweka ili taarifa hapa wanaidaka juu kwa juu, inaonekana mwaka wa mavuno umekoleaHaya maneno humu jf hayatakiwi sijui kwanini
Lowwassa anapingwa kwa kuwa ni wa Kanda ya Kaskazini, na kwamba, akiwa rais atawashughulikia watesi wake
Mchakato wa kwenu, lakini gharama zinazotumika za Kwetu.Mnafuatilia huu Mchakato kuliko sisi wahusika, Kunani? Si mtuache tuchague mgombea wetu? Wa kwenu si anajulikana ni MZEE SLAA?
Futuru ya wakubwa inchukua muda mrefu. Tuvute subiraWazee wa kufuturu bado tu? aisee kila mtu tanzania ana hamu ya kujua nani anapita
Lowasa kua mgombea mwenza wa agustino ramadhani
Huu ndio uamuzi wa busara na hekima kukinusuru chama
Wewe hujui kitu, endelea kula ganja tu, Akina MBOWE na SLAA wanafahamu nazungumzia nini hapa!Eeeewe mjinga kuwa na adabu muda nwingine
Eti wapinzani wanamwogopa kwa lipi"?
Team lowasa mjiandae kisaikolojia, matokeo yako tofauti sana
Hahahahah!!Mkuu sisi tuko pembeni tunachochea kuni kwenye Tanuri..!! Kamwe usidhani kunamgombea yeyote anayeogopwa nasi, Kama ni kuogopa ninyi ndiomnaoogopa kwasababu mlianza kwa kupangua pangua ratiba na mpaka sasa mnaogopa kutangaza majina matono...Why...?
Mkimpitisha moto unawaka nje ya ccm (UKAWA inawababua) Mkimkata moto unawaka (Lowassa anawababua)
Yaani hii ni ile inayoitwa... Ukikojoa nchale,.. Ukitita nchale,.. Ukitema nchale,.. Ukimeza nchale... Yaani ni hatari tupu. Tuko pembeni hapa nyie endeleeni kularurana tu.!!
BACK TANGANYIKA
Ndo faida ya kuwa chama tawala. Nyie mtaendelea kuwakata wabunge wenu mpaka mkomeMchakato wa kwenu, lakini gharama zinazotumika za Kwetu.
Lowasa kua mgombea mwenza wa agustino ramadhani
Huu ndio uamuzi wa busara na hekima kukinusuru chama