Mkuu sisi tuko pembeni tunachochea kuni kwenye Tanuri..!! Kamwe usidhani kunamgombea yeyote anayeogopwa nasi, Kama ni kuogopa ninyi ndiomnaoogopa kwasababu mlianza kwa kupangua pangua ratiba na mpaka sasa mnaogopa kutangaza majina matono...Why...?
Mkimpitisha moto unawaka nje ya ccm (UKAWA inawababua) Mkimkata moto unawaka (Lowassa anawababua)
Yaani hii ni ile inayoitwa... Ukikojoa nchale,.. Ukitita nchale,.. Ukitema nchale,.. Ukimeza nchale... Yaani ni hatari tupu. Tuko pembeni hapa nyie endeleeni kularurana tu.!!
BACK TANGANYIKA