Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Futuru ya wakubwa inchukua muda mrefu. Tuvute subira
Teh teh teh...

Subiri tu Mkuu, Hakuna namna ya kumuondoa LOWASSA.

Mwalimu Nyerere(mmoja wa waasisi) aliwahi kusema, "bila CCM kuchagua mgombea anayekubalika na wananchi ndani na nje ya CCM, isitegemee ushindi".

Hakuna namna, LOWASSA ndiye!
 
Mnafuatilia huu Mchakato kuliko sisi wahusika, Kunani? Si mtuache tuchague mgombea wetu? Wa kwenu si anajulikana ni MZEE SLAA?
No!! Kazi yetu hapa ni moja tu, kuchochea kuni tu. Mambo mengine endeleeni na chama chenu.
 
Kazi ipo mwaka huu
utabiri wangu
1.lowassa
2.magufuli
3.migiro
4.nyerere
5.membe
 
Teh teh teh...

Subiri tu Mkuu, Hakuna namna ya kumuondoa LOWASSA.

Mwalimu Nyerere(mmoja wa waasisi) aliwahi kusema, "bila CCM kuchagua mgombea anayekubalika na wananchi ndani na nje ya CCM, isitegemee ushindi".

Hakuna namna, LOWASSA ndiye!

Teh teh teh,Gamba mwenzako hafahamu kuwa Lowasa ni mpango wa Allah?
 
Mnaangaika sana jamani.watu wameshaanza kujazana kwa lowassa kusherekea ushindi...in short jina la lowassa ndio la kwanza kujadiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…