Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wajumbe wamemaliza kufuturu na sasa wameshaingia kwenye ukumbi kuendelea na kikao. Vyovyote itakavyokuwa lazima majina hayo matano yapatikane mapema na NEC itafanyika usiku huu kwa vile kesho ni Mkutano Mkuu
 
kwani haijajulikana,mbona taarifa zimezagaa.Team Lowasa wameshapoteana hawawezi kuchomoza tena.ni kama Yanga ikibutulia 5 bila na Simba unadhani Jeri Muro ataleta kidomo domo

Tafadhali mkuu huko uendako siko tuachie Yanga yetu pliiiiiiz!!!!
 
Kwani nani kakudanganya kuwa Lowasa anakubalika na wananchi wengi? Ni lini wananchi tulifanya uchaguzi tukaamua kuwa Lowasa ndo chaguo letu?
Kama ni mfuatiliaji wa Vyombo vya habari usingeuliza hili swali la kitoto hivi. Mkuu,
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!!!
 
website halali ni moja tu

CCM | Chama Cha Mapinduzi
 
Wajumbe wamemaliza kufuturu na sasa wameshaingia kwenye ukumbi kuendelea na kikao. Vyovyote itakavyokuwa lazima majina hayo matano yapatikane mapema na NEC itafanyika usiku huu kwa vile kesho ni Mkutano Mkuu

mbona taarifa zingine zinasema wamehairisha kikao cha usiku huu?
 
Team lowasa mjiandae kisaikolojia, matokeo yako tofauti sana
 
Wapuuzi wapo wengi leo. Huu mtandao ni wa mpenzi wako?
 
Wajumbe wamemaliza kufuturu na sasa wameshaingia kwenye ukumbi kuendelea na kikao. Vyovyote itakavyokuwa lazima majina hayo matano yapatikane mapema na NEC itafanyika usiku huu kwa vile kesho ni Mkutano Mkuu

Hapojuu VP kunamtukaleta majina
 
nape hajui kuandika hivi!!!hakika nape si mwana wa moses nnauye..
 
Rais wetu mpendwa aliyetutumikia taifa zima kila kona tunamsubili kwa hamu tulipe fadhira kwa kadi zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…