Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Bahati mbaya wala EL hajasurvive hiyo tano bora. Taarifa nilizonazo toka kwa mtu wa karibu na mmoja wa watia nia ni kuwa list ina Membe, Jaji AR, Asha-Rose, Makongoro na Mwandosya.

Huyo jamaa nasikia ametishia kumuunga mkono Makongoro!
Mpaka tamko la CCM litakapotoka tutasikia list nyingi sana...
 
Jamani wamalize ili watujuze na kama wakwetu amekatwa basi tunakatika nae eeeh tumechoka sasaa!!
 
Nmefuatilia utabiri namitazamo ya wadau wengi lakn kilamtu akitoa tano bora yake jaji LAzima awepo na Huyu mmama WA un je hawa wawili wanauspecial gain? MBNA hamwatabirii kukatwa Kama mmasai alieagiza DOKTA ujerumani.
 
Hayo ndo majina yaliyopitishwa na ccm kuingia tano bora. Usiku mwema wajameni.

Punguza stress fikiria mambo mepesi, mfano nikuulize mwonekano wa Chura ni kwamba amesimama,amekaa ama ni pozi? Ubashiri waachie wenye elimu za nyota na unajimu!
 
Wajinga kama akina gwajima wanao jiita sijui uzima na ufufuo wataweka msiba maana baba yao mwizi atakatwa jina muda si mrefu.
 
ww kweli ARAWA
wenzako wanasubiri majina 3 yatakayoingia Mkutano Mkuu na ndio maana wakaunganisha CC na NEC
subiri maumivu tu ya safari yako ya matumaini
Kweli naenda kulala,lakini kweli yenyewe haitalala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…