MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Ninaenda kulala jamani, namba yangu ya simu ni
0782 189 959
Naombeni mnitumie ata msg pale matokeo yatakapotangazwa.
Mbona bado upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaenda kulala jamani, namba yangu ya simu ni
0782 189 959
Naombeni mnitumie ata msg pale matokeo yatakapotangazwa.
Mpaka tamko la CCM litakapotoka tutasikia list nyingi sana...Bahati mbaya wala EL hajasurvive hiyo tano bora. Taarifa nilizonazo toka kwa mtu wa karibu na mmoja wa watia nia ni kuwa list ina Membe, Jaji AR, Asha-Rose, Makongoro na Mwandosya.
Huyo jamaa nasikia ametishia kumuunga mkono Makongoro!
Hii ndio shida ya mtu kupost kabla ya kula futari.
Haya bwana, ebu chezesha hicho kibuyu chako tuangalie kati ya Lowasa vs Silaa kura zitakuaje?
Umelewa wanzuki......!? Tunamsubiri Nape atangaze sio wewe.
Hayo ndo majina yaliyopitishwa na ccm kuingia tano bora. Usiku mwema wajameni.
Kweli naenda kulala,lakini kweli yenyewe haitalala.
Mpaka tamko la CCM litakapotoka tutasikia list nyingi sana...
Kubenea ile tindikali aliyomwagiwa imeathiri ubongo wake
Me nalala akikatwa muniamshe wakuu