Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Lala sasa mkuu
 
Bora hii ngoma ipigwe kesho lakini najua hapo dom hakulaliki. Lakini hayo majina 5 vp?
 
Sisi tunatamani na masikio yetu yako Dodoma tujue wanavunjika vipi wanagombana vp .
 
jf ktk ubora wake.....

I miss Field Marshal ES
Philemon Michael
PASCO
 
Kingunge, Kone na Msindai wanaratibu mpango wa kumng'oa Mwenyekiti wa CCM,KIKWETE ndani ya NEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…