Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndo hyo usiku mwema!
Hili ndio tatizo la magamba badala ya kumchagua raisi ambae atapambana na mafisadi, maradhi,ujinga ,rushwa nk wewe unamtaka Lowasa aje apambane na UKAWA Tatizo hilo ndio maana tuko nyuma kwa kila kitu ktk Afrika Mashariki Kenya wanaendelea kutupiga bao, Rwanda nayo pamoja na janga la Kimbali wamekwenda hatua kibao zaidi yetu nasema tena CCM ni janga jamani la TaifaLOWASSA anatosha...Yeye Pekee ndiye anayeweza kupambana na hawa wahuni wa UKAWA.
halali mtu hapa mpaka akatwe fisadi lowasa
tungojee majibu BBC swahili kesho alfajiri
Kingunge, Kone na Msindai wanaratibu mpango wa kumng'oa Mwenyekiti wa CCM,KIKWETE ndani ya NEC
msomali bana wakati wengine wanaimba ikiwa ni pamoja mna mwenyekiti wake yeye wala anafikiria Al shabab na operesheni zao.Naona kamanda wake FaizaFoxy kimya kidogo nadhani yuko frontline kwa kisingizio cha mfungo
Habari za uhakika ni kwamba Lowassa amekatwa miguu tayari!!!
Taratibu mkuu me hapa ndhavunjika moyo
Kama Zanzibar ni Nchi Uhalali wa Kugombea Bara Unatoka Wapi??
Nami naamin hivyo magufuli 🔝 1
Kweli bana.mi mwenyewe huku watu wanapigiana simu 'amekatwa' 'amekatwa'.watu watapatwa na presha kesho!,,,,,,only time will tell!