BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Hamia ACT
Hawa hapa sasa:
1.Mwandosya
2.Membe
3.Migiro
4.Bilal
5.Sitta
ndio lowasa
hapa umeongozwa na mapenzi mkuu, watu vijijini wanajua nyerere ndo raisi wa tanzania na CCM we unasema lowasalowasa ni maarufu kuliko ccm
Sasa kama hii mizengwe inawezekana kwa mti mbichi,itakuwaje kwa mti mkavu?
Habari ndo hyo usiku mwema!
........................
..........................
UPDATES.......
Tuhuma nzito zimetolewa na idara ya usalama wa taifa dhidi ya Edward Lowassa kuwa aliisambaratisha vilivyo idara hiyo nyeti. Kufuatia tuhuma hizo wazee waliowahi kuwa viongozi waandamizi wa juu serikalini waliokuwepo ndani ya kikao cha kamati ya maadili na usalama wamependekeza kuwa Lowassa aondolewe mara moja na asijadiliwe tena kamati kuu.
Hizo ni habari za uhakika kutoka kwangu G Sam
hahaha km we ni team.membe utangulie mtama ukaweke maturubai..km ni mamvi uandae ambulance ya kwenda muhimbili
Kila mtu mbona anakuja na taarifa yake???
Tumwamini naniiii?!?!
Kwani na wewe ni usalama