Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

kajipange story yako nzuri kusoma ila haina mashiko coz imekaa kisiada zaidi bila fact za maana wataje waliopewa tuwajue na sio waliotoa peke yao.

maana na wewe utakuwa vuvuzera tuu
 
Kwa akili yako finyu, unadhani bila mgombea imara kutoka CCM, kuna ushindi? Huo ujinga, umaskini, maradhi..etc utapambana nao vipi? Hapa tunazungumzia uchaguzi.

Haya sasa jamani hatulali tunataka MKONO
 
Bado tu... Mweeeh! Ngoja nishushe chandarua. Alamsiki wadau, kesho panapo majaaliwa ya Mwenyezi Mungu...
 
Jamani watanzania wenzangu tusubiri tu watangaze achani kutoa taarifa za uongo bila evidence..
 
mpaka saa tano hakuna lolote. laleni, ccm wametuudhi bungeni, wasubiri uchaguzi tuwalipe malipo yao
 
Tetesi 5 bora ni hii hapa
1. Pinda
2. Bilal
3. Jaji Ramadhani
4. Membe
5. Asha Migiro
 
Haya sasa jamani hatulali tunataka MKONO

Nape atatangaza matokeo baada ya DAKU. ikifika asubuhi yatakuwa yamebaki majina 3. magazeti yatapata nafasi ya kuandika JINA MOJA Jumapili.... Hii ndio taiming ya kumchinja Lowassa bila kuwa na madhara ya kipropaganda za kina Kingunge. Wamebanwa kila kona. Hawafurukuti.....
Lowassa sasa wanamunywesha gulukosi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…