Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kweli watakuwa bado wapo kikaoni au washalala saa hizi?!
 
Naona wajumbe wamegoma kuitikia zidumu, ''zidumu fikra za mwenyekiti''.
 
Hata kama akikatwa keshaweka historia.. Haijawahi tokea NEC kuchukua muda mrefu kupitisha mgombea
 
Habari zilizotufikia hv punde watano walipita ni Membe, Agustino, Pinda, Migiro & Magufuli......
 
Haiwezekani jamani - hao wajumbe wamelishwa maharage ya wapi mpaka sasa taarifa halisi zisivuje? Hii kawaida, lazima kuna jambo ambalo sio la kawaida au haliko sawa!
 
Habari za kuaminika Lowasa kaingia tano bora update znakuja zaid

Update yakuaminika tano bora
Lowasa
Magufuli
Bilali
Migiro
Membe

Matusi kwenu hapa ni habar za ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…