Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Dah wanakata pale...,haa,wanamkosa pale manina,Lowasa Lowasa anakwenda pale Lowasa na mpira Lowasa Lowaasa anabaki yeye na Mkutano Mkuu go goo goooooal mpaka Magogoni pale kudadadadadadeeeki zao...
 
bilali,pinda,migiro,ramadhani,makongoro..
nalala sasa hivi...nikiamka tena nataja rais wa JMT.
 
Habariza kuaminika ...hizi za kumiminika

Ntarudi badaee
 
Dah wanakata pale...,haa,wanamkosa pale manina,Lowasa Lowasa anakwenda pale Lowasa na mpira Lowasa Lowaasa anabaki yeye na Mkutano Mkuu go goo goooooal mpaka Magogoni pale kudadadadadadeeeki zao...

Wew na wew unaleta ushabiki usiokuwa na msingi unazani humu ni facebook....lione kwanza hovyo
 
Huu ndo uhakika, lowassa analazimishwa awe makamu wa rais jaji Ramadhani awe rais Lowassa kagoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…