MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Mimi silali paka mb8 zangu ziisheaiseee hata ukiangalia video jk amechoka , wamalize tukalale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi silali paka mb8 zangu ziisheaiseee hata ukiangalia video jk amechoka , wamalize tukalale
Habari za kuaminika Lowasa kaingia tano bora update znakuja zaid
Duu ukweli ndio huu sasa haya ys riz yauongo kweli? Narudia ukweli ndio huu
hujui kitu kakojoe ulale mkuu
ugomvi wa nini?
Dah wanakata pale...,haa,wanamkosa pale manina,Lowasa Lowasa anakwenda pale Lowasa na mpira Lowasa Lowaasa anabaki yeye na Mkutano Mkuu go goo goooooal mpaka Magogoni pale kudadadadadadeeeki zao...
Habariza kuaminika ...hizi za kumiminika
Ntarudi badaee
Habari za kuaminika Lowasa kaingia tano bora update znakuja zaid