Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Top o5
Mkeka wa MegaMix
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Asha Migiro
3.Prof.Mark Mwandosya
4.Makongoro Nyerere.
5.Mizengwe Pinda
Top3.
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Magufuli
3.Dr.Migiro.

CCM Flag bearer
Dr.Magufuli
Runnermate.Justice Ramadhani
roots na Renajr wekeni mkake hapaaa
 
Last edited by a moderator:
Hadi sasa jibu halijapatilana baada ya ubishani mkali ndani ya MCC,kikao kilichoishia saa tisa jana usiku kilikuwa kinamuomba EL awe makamu wa president ili Augustino Mwezi huu awe Rais
Hongera Lowasa
 
Hadi sasa jibu halijapatilana baada ya ubishani mkali ndani ya MCC,kikao kilichoishia saa tisa jana usiku kilikuwa kinamuomba EL awe makamu wa president ili Augustino Mwezi huu awe Rais
Hongera Lowasa

taifa halina fedha za kugharamia mazishi ya marais wawili.
 
britanicca nikikuona kama una kamzaa ila umeflow walau vizuri na kwa hoja, thanks!
 
Humu ndani kumejaa utabiri tu ngoja tusubiri mpaka official announcement.
 
Top o5
Mkeka wa MegaMix
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Asha Migiro
3.Prof.Mark Mwandosya
4.Makongoro Nyerere.
5.Dr.Magufuli
Top3.
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Magufuli
3.Dr.Migiro.

CCM Flag bearer
Dr.Magufuli
Runnermate.Justice Ramadhani

odds ya ngapi hiyo?!
 
Inaleta muelekeo nilio nao. Ila jamaa wa kwanza hapo kwny red anaweza kuachwa kumpa moyo ili aondolewe kwenye 3cream.

Mkuu, hawawezi kufanya kosa hilo. Huyo jamaa kajiweka sawa kwenye NEC na mkutano mkuu. Kizingiti kwake ni kuvuka CC
 
........................
..........................
UPDATES.......
Tuhuma nzito zimetolewa na idara ya usalama wa taifa dhidi ya Edward Lowassa kuwa aliisambaratisha vilivyo idara hiyo nyeti. Kufuatia tuhuma hizo wazee waliowahi kuwa viongozi waandamizi wa juu serikalini waliokuwepo ndani ya kikao cha kamati ya maadili na usalama wamependekeza kuwa Lowassa aondolewe mara moja na asijadiliwe tena kamati kuu.

Hizo ni habari za uhakika kutoka kwangu G Sam
 
Aliisambaratisha , walikuwa wapi muda huo, na kwanini walikubali kusambaratishwa na mtu mmoja!...my hairs!!
 
Back
Top Bottom