Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha!!!!? Mnatafuta mtu kutolewa kafara
Ahhahaha mkuu wangu upepo mbaya ngoja tuwe watazamaji tu.
Ahhahaha mkuu wangu upepo mbaya ngoja tuwe watazamaji tu.
Hadi sasa jibu halijapatilana baada ya ubishani mkali ndani ya MCC,kikao kilichoishia saa tisa jana usiku kilikuwa kinamuomba EL awe makamu wa president ili Augustino Mwezi huu awe Rais
Hongera Lowasa
Top o5
Mkeka wa MegaMix
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Asha Migiro
3.Prof.Mark Mwandosya
4.Makongoro Nyerere.
5.Dr.Magufuli
Top3.
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Magufuli
3.Dr.Migiro.
CCM Flag bearer
Dr.Magufuli
Runnermate.Justice Ramadhani
Inaleta muelekeo nilio nao. Ila jamaa wa kwanza hapo kwny red anaweza kuachwa kumpa moyo ili aondolewe kwenye 3cream.
Wewe mbona mbishi sana,nishakwambia Lowasa hakatwi wala havunjwi hapa mpaka Magogoni,hakuna Mwanaume Jasiri wa kumkata Lowasa kwa CCM hii.
Aliisambaratisha , walikuwa wapi muda huo, na kwanini walikubali kusambaratishwa na mtu mmoja!...my hairs!!........................
..........................
UPDATES.......
Tuhuma nzito zimetolewa na idara ya usalama wa taifa dhidi ya Edward Lowassa kuwa aliisambaratisha vilivyo idara hiyo nyeti. Kufuatia tuhuma hizo wazee waliowahi kuwa viongozi waandamizi wa juu serikalini waliokuwepo ndani ya kikao cha kamati ya maadili na usalama wamependekeza kuwa Lowassa aondolewe mara moja na asijadiliwe tena kamati kuu.
Hizo ni habari za uhakika kutoka kwangu G Sam
Picha wakati jamaa anaiba habari!Picha ni muhimu sana hizi thead zimekuwa bubu mpaka zinaboa