Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

duh .. kumbe deadline nayo Iran nayo imesongezwa mbele? ccm kwa kuiga hawajambo
 
Jamani toeni taarifa za uhakika... kwani tunawafatilia hapa.
 
Sisiem hizi siku mbili imewashika watu pabaya, watu hawali kikateremka, hawanywi yakateremka viziri masiko na macho yote ni dodoma.
 
Timu ya Lowassa wanatumia njia za hatari sana kuhalalisha uharamia wake.Wameitengeneza hiyo msg feki ya Ridhiwani ili kuonyesha eti Lowasaa anakatwa kwa sababu ya eneo lake.n

Lowasaa itadhani bila urais atakufa.

hatakama nikweli pia ssawasawa yeroo MPE rungu Na sime akae gtni akija mjini. sio uprsdaa atatukhanic kibka Huyu ndmana atakatika mbele nyuma njendani
 
watu hawalali we unaleta mambo ya kitoto hapa!!!!!!!!
 
kwanini asipochaguliwa Lowasa awe kakatwa lakini asipochaguliwa mwingulu iwe sawa tu? kwani Lowasa yeye ni nani hata hasipochaguliwa awe kakatwa? Nauliza tuu
"Lowassa ni sawa na Mtume Muhama.." Ramadhan Madabida.
 
Back
Top Bottom