MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Wote wazushiKila mtu mbona anakuja na taarifa yake???
Tumwamini naniiii?!?!
mambo yote ni kesho j'mosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wazushiKila mtu mbona anakuja na taarifa yake???
Tumwamini naniiii?!?!
Helo..mwenye updates atujulishe basi
Helo urself kenge ww,nyuzi za updates ujaziona humu mpaka kuanzisha uzi wa kitoto.?
Timu ya Lowassa wanatumia njia za hatari sana kuhalalisha uharamia wake.Wameitengeneza hiyo msg feki ya Ridhiwani ili kuonyesha eti Lowasaa anakatwa kwa sababu ya eneo lake.n
Lowasaa itadhani bila urais atakufa.
"Lowassa ni sawa na Mtume Muhama.." Ramadhan Madabida.kwanini asipochaguliwa Lowasa awe kakatwa lakini asipochaguliwa mwingulu iwe sawa tu? kwani Lowasa yeye ni nani hata hasipochaguliwa awe kakatwa? Nauliza tuu