Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Tano mbovu....magufuli..makamba..na hao wa mama wanamjengea mazingira ya ushindi###MEMBE
 
CCM please tunaomba raisi mwanamke kama mlivyofanya katika nafasi ya Spika ya mama retu Makinda tutafurahi sana UKAWA...
 
Mbona ilishapote tangu enzi za Kolimba..., au walishaipata hapo katikati ndio imepotea tena ?
 
Magufuli je akipata unabii wake utakuwa feki? Kwa kuwa alienda pia.
 
Mambo ya CV yanaingia hapa kweli?
Manake kuna watu humo cv zao mhhhhhh hazina mashiko kabisa.
Anyway hio ndio ccm yetu

Hivi jamani January makamba ametimia kweli?.Hata miaka 20 ya siasa haijui hivyo uzoefu na uchungu wa nchi hana, iweje basi apewe kipaumbele?.
 
Naona JF imezidiwa mzigo marufuku kwa sasa guests view kuingia JF.

Nakumbuka kipindi kile Lowassa anajiuzulu JF ilizidiwa server zilishindwa kuhimili mzigo JF ikazima.

Leo JF wawe makini Lowassa tena.

Teh teh teh
 
Wakati mwenyekiti akiingia ukumbini wajumbe walisimama kama ilivyo ada na kuanza kuimba kuwa wana imani na Lowassa. ..... hakika hali bado tete Dom
 
Duh.ya kwel haya?
 

Attachments

  • 1436612749323.jpg
    1436612749323.jpg
    30.3 KB · Views: 171
Back
Top Bottom