Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hayo maneno ya kingunge yalikuwa ya siku nying na si leo, kwahyo ameshapata majibu yake baada ya tano bora kutoka
 
No change nape kaongeaaaa....majina matatu mda wwt kuanzia sasa.....
Saa 3 jina moja litakuwa hewani. ..
 
wanatanzania kama kweli tuna nia njema na mama Tanzania{kama mbatia anavyopenda kuita} hiki chama kinapashwa kupumzishwa kushika hatamu, kupitia huu mchakato nimejifunza mambo kadhaa
1.huwezi kuwa kiongozi ndani ya ccm hata kama unakubalika na wanachama wote wa ccm
2.unaweza kuwa kiongozi wa ccm pale tu kiongozi/viongozi wa juu wa chama,pamoja na familia zao,tunalionna hili kwa mwenyekiti
3.matajiri wanawachagulia ccm/Tanzania viongozi
 
wanahabari wamekuwa 'bored'! NEC kesho saa 4 asub!
 
Hv hili jukwaa la matus au gteat thinker? Wat wanatukana tu jenga hija bhana
 
Back
Top Bottom